Nationalhymne Tansanias
Swahili
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
CHORUS:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
CHORUS:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Deutsche Übersetzung
Gott segne Afrika.
Segne seine Führer.
Weisheit, Einheit und
Frieden sind das Schild
Afrikas und seiner Menschen.
CHORUS:
Segne Afrika,
Segne Afrika,
Segne uns, die Kinder Afrikas.
Gott segne Tansania.
Bewahre Freiheit und Einheit
für Frauen, Männer und Kinder
Gott segne Tansania und sein Volk.
CHORUS:
Segne Tansania,
Segne Tansania,
Segne uns, die Kinder Tansanias.